21 Dec 2012

Maadili ya Utumishi wa Umma kwa Watumishi wa Afya

Uzingatiaji wa maadili ya kitaaluma kwa wafanyakazi wa afya ni mojawapo ya mambo ya msingi sana katika utoaji wa huduma bora za afya. Uzingatiaji wa maadili huathiri namna watoa huduma wanavyohusiana na watumia huduma Hivi karibuni nchini Tanzania, kumekuwa na ongezeko la malalamimiko kuhusu watumishi katika vituo vya huduma za afya vya umma na binafsi kutozingatia maadili ya taaluma ya afya.…